Hii hapa ratiba ya kufuzu kombe la AFCON 2019 ... Tanzania yapangwa kundi moja na Uganda

Unknown | 8:00 AM | 0 comments

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa ratiba ya makundi ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika mwaka 2019 (AFCON2019) michuano ambayo itafanyika nchini Cameroon.

Tanzania imepangwa katika kundi L ikiwa pamoja na Uganda, Lesotho na Cape Verde.

Michuano hii hufanyika kila baada ya miaka miwili ambapo mwaka 2017 inafanyikia nchi Gabon ambapo inatarajiwa kuanza leo  Januari 14, 2017.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments