HISTORIA FUPI NA YA KUSISIMUA YA CRISTIANO RONALDO

Unknown | 7:51 AM | 0 comments

Nilipokuwa mdogo,nilimuambia baba yangu kuwa: "Tutakuwa matajiri na tutakuwa na nyumba nzuri na kubwa"   , Baba alinijibu : "Mwanangu hiyo ni ngumu sana"..

Lakini Leo ninacho kile nilichomuambia baba, lakini sina baba yangu kwa Sasa amefariki dunia bila kukiona kile nilicho muahidi! - 

Cristiano Ronaldo  Nikujuze tu,,, C Ronaldo ni mmoja kata ya wachezaji waliokulia katika maisha ya kimaskini mno,,,  Wameishi kwenye nyumba yenye vyumba viwili tu vya kulala mpaka alipokuwa akijielewa (balehe)  Amechangia chumba yeye na dada zake hata pale alipokuwa timamu,,, (mvulana)  Kutokana na hasira na ugumu wa maisha aliyopitia Ronaldo alihakikisha familia yake wanaishi mahali penye nafasi pale alipopata mshahara wa Kwanza tu (professional)  Na mpaka Sasa amenukuliwa Mara kadhaa akiuchukia umaskini na amekuwa akijitoa Mara kwa Mara kusaidia watu wanaoishi kwenye hali ngumu,,,  Anazifanyia kazi ndoto zake

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments