IBRAHIMOVIC AIPELEKA SWEDEN EURO 2016
Nahodha
wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic akiifungia timu yake bao la pili kwa
mpira wa adhabu katika sare ya 2-2 na wenyeji Denmark leo. Ibrahimovic
amefunga mabao yote ya Sweden ambayo imeshinda kwa jumla ya 4-3 baada ya
ushindi wa 2-1 awali hivyo kufuzu Euro 2016 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Category: uingereza
0 comments