ALGERIA WALIVYOWASILI DAR TAYARI KUIKABILI TAIFA STARS JUMAMOSI

Unknown | 8:59 AM | 0 comments


Wachezaji wa Algeria wakiteremka kwenye ndege yao, baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku wa leo tayati kwa mchezo dhidi ya wenyeji, Tanzania Jumamosi Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Utakuwa mchezo wa kwanza Raundi ya Pili kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi na timu hizo zitarudiana Algiers Jumanne. Credit: Bin Zubery 

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments