MADRID YAITWANGA MALAGA 3-1, RONALDO AKOSA PENALTI LAKINI APIGA BAO

Unknown | 10:15 AM | 0 comments


Cristian Ronaldo angejilaumu sana baada ya kukosa penalti wakati Madrid ikiongoza kwa bao moja. Lakini baadaye akawa shujaa kwa kufunga bao la tatu wakati Madrid ikishinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Malaga
Mabao mengi ya Madrid yalifungwa na Sergio Ramos na James Rodriguez.
Real Madrid: Casillas, Pepe, Ramos, Marcelo, Arbeloa (Carvajal 76'), Kroos, Rodriguez, Modric (Illarramendi 60'), Isco, Ronaldo, Bale (Hernandez 5')
Subs not used: Navas, Silva, Fernandez, Jese
Booked: Arbeloa, Kroos
Goals: Ramos 24' Rodriguez 69' Ronaldo 90'
Malaga: Kameni, Angeleri, Roseles, Boka, Sanchez, Amrabat, Garcia, Recio (Damian Tissone 75'), Castillejo (Horta 81'), Darder (Duda 87), Juanmi
Subs not used: Guerra, Ochoa, Torres, Filipenko
Booked: Sanchez, Damian Tissone
Goals: Juanmi 71'






Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments