AZAM FC KUMPOKEA WAWA

Unknown | 11:31 AM | 0 comments



Photo: Baada ya kiungo  Amri Kiemba kusajiliwa na kuanza mazoezi na timu, Azam Fc kesho inatarajia kumpokea beki aliyesajiliwa hivi karibuni, Pascal Wawa majira ya saa 3 asubuhi akitokea kwao nchini Ivory Coast na atajiunga mara moja na kikosi chetu kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazotukabili msimu huu.
Baada ya kiungo Amri Kiemba kusajiliwa na kuanza mazoezi na timu ya Azam Fc. Timu hiyo inatarajia kumpokea beki aliyesajiliwa hivi karibuni, Pascal Wawa majira ya saa 3 asubuhi akitokea kwao nchini Ivory Coast na atajiunga mara moja na kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya mechi za ligi kuu msimu huu pamija na mechi za kimataifa.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments