RONALDO AMEANDIKISHA REKODI NYINGINE MPYA KWENYE SOKA.

Unknown | 10:55 AM | 0 comments


The Portuguese takes a typical stance as he stands over a free-kick searching for his record breaking goalCristiano Ronaldo Usiku wa jana aliandikisha rekodi mpya ya kihistoria katika harakati za kufuzu kaajili ya michuano ya Ulaya mara baada ya kuifungia timu yake ya taifa tya Ureno goli moja na la pekee na hivyo kuwa ndiye mfungaji anyeshikiria rekodi ya kufunga magoli mengi kwenye hatua hiyo ya awali.


 Ronaldo's 23rd goal in European Championships qualifying and finals made his the highest goalscorer in the competition's history
Goli hilo la peke la Ronaldo kwenye mchezo huo dhidi ya timu ya taifa ya Albania limemfanya mshambuliaji huyo kuandikisha historia hiyo mpya na kuendelea kuwa na wakati mzuri wa kuendele kuandikisha rekodi mbalimbali katika tasnia ya mpira wa miguu barani Ulaya na Duniani kwa ujumla.

The Real  star wheels away after breaking yet another record in his illustrious career for club and country
 Seleccao walionekana kubanwa sana kwenye mchezo wa jana lakini juhudi binafsi za nahodha wao huyo Cristiano Ronaldo zilikuja kuzaa matunda mnamo dakika ya 72 mara baada ya kumalizia nafasi nzuri iliyotengenezwa na Luis Nani na kuipeleka timu yake kwenye nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi I nyuma ya timuya taifa ya Denmark.

 Cristiano Ronaldo's goal against Armenia made him the highest goalscorer in European Championship history
Kwa goli hilo sasa Ronaldo anasogea mpaka nafasi ya kwanza akiwa na magoli 23 akiwapita mchezaji wafuatao ambao wengi wao tayari wamekwishaachana na soka la kimataifa.

1. John Dahl Tomasson. (Denmark/Magoli 22)
  
Retiring: Tomasson

2. Robbie Keane. (Ireland/Magoli 21)

 Ireland striker Robbie Keane has 65 international goals and 137 caps to his name

3. Jan Koller.(Czech/Magoli 21)

  
Volkan Demirel

4. Hakan sukur.(Uturuki/Magoli 21)

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments