MAAJABU YA BAO LA ROBIN VAN PERSIE, MASHABIKI WATENGENEZA PICHA ZA AINA YAKE, NI HATARI!

Unknown | 10:43 PM | 0 comments


is it a bird, it is a plane? No it's an airborne Van Persie scoring against world champions Spain

Hivi ni ndege kiumbe cha mungu au ndege chombo cha usafiri? Van Persie akifunga bao ka kushangaza dhidi ya mabingwa Hispania.
Caped crusaders: Robin van Persie mocked up as Batman and Arjen Robben as Robin, naturallyHapo sasa: Robin van Persie ametaniwa kama Batman na Arjen Robben kama Robin.

MASHABIKI wengi baada ya Uholanzi kuwafumua mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania, mabao 5-1 wametengeneza picha nyingi za kuvutia.

Robin van Persie aliruka hewani kama anapiga mbizi na kupiga kichwa cha kushangaza akiwafungia Uholanzi bao la kusawazisha.
Bao hilo bora limewafanya mashabiki wamtengenezee picha Mholanzi huyo wakimuita Superman, Batman na Peter Pan.

Kutazama picha za maajabu bofya www.bkmtata.blogspot.com

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments