DIEGO COSTA AUMIA VIBAYA AKIIFUNGIA BAO LA PILI ATLETICO JANA, SASA HATARINI KUIKOSA CHELSEA LIGI YA MABINGWA

Unknown | 10:36 PM | 0 comments

MSHAMBULIAJI Diego Costa anakabiliwa na mtihani wa kupambana na muda ili kuwa fiti kabla Atlético Madrid haijakutana na Chelsea katika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kuumia ugoko wakiifunga Getafe 2-0 jana.
Mshambuliaji huyo wa Hispania alitolewa nje baada ya kujigonga kwenye nguzo ya goli wakati akiifungia timu hiyo bao la pili katika La Liga.
Costa anaweza kukosa mechi dhidi ya The Blues zitakapokutana nchini Hispania Aprili 22, mwaka huu. Ushindi wa jana unaifanya Atletico ijisogeze jirani kabisa a ubingwa kwa kufikisha pointi 82 baada ya kucheza mechi 33, ikifuatiwa na Real Madrid yenye pointi 79 za mechi na Barcelona pointi 78 za mechi 33 pia. 

Majanga: Damu zikimwagika kwenye mguu wa Costa baada ya kuumia jana
Ouch! Diego Costa collides with the post while scoring Atletico's second
Diego Costa alivyogonga nguzo wakati anafunga
Commitment to the cause: Costa gets crocked wrapping up victory
Costa anapiga shuti ugoko unakwenda kugonga nguzo ya goliAgony: Costa clutches his leg after a hitting the upright
Costa akiugulia maumivu
Concern: Costa covers his face as he is stretchered off
Costa anatolewa nje kwa machela 

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments