AZAM FC YAKABIDHIWA KOMBE LAO RASMI CHAMAZI

Unknown | 10:26 PM | 0 comments


Wachezaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Azam FC ya Chamazi Dar es Salaam wakishangilia baada ya kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka Tanzania 2013-2014. Ubingwa huo ulikuwa unashikiliwa na Yanga iliyoambulia nafasi ya pili na leo ikitoka sare na Simba 1-1.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments