SIMBA SPORTS CLUB YACHEZEWA SHARUBU NA COASTAL UNION
Simba SC imeendelea kusuasua katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union leo.
Bao la Coastal limewekwa kimiani na Hamad Juma dakika ya 45 kipindi cha kwanza katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar.Chanzo GPL
Category: tanzania
0 comments