MFAHAMU MCHEZAJI WA KWANZA NA PEKEE ALIYEWAHI KUFUNGA HAT TRICK KATIKA MCHEZO WA FAINALI WA KOMBE LA DUNIA
Mchezo huo ulishuhudia mechi ya kihistoria katika michuano hiyo, huku England wakiifunga Ujerumani Magharibi 4-2 baada ya extra time.
Shujaa wa England Geoff Hurst, aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza na mwisho kufunga mabao matatu - hat trick katika fainali ya kombe la dunia.NA SHAFFIH DAUDA
Category: uingereza
0 comments