MASHINDANO YA MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

Unknown | 10:21 PM | 0 comments


Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam (hawapo pichani) kuhusu kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014. Katikakati ni Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro, na (kulia) ni Meneja Masoko wa kinywaji hicho, Vimal Vaghmaria.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments