Alichopost Samuel Eto’o Instagram kuhusu yeye na Didier Drogba
Mshambuliaji wa Chelsea na timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto’o ambaye alikuwa mmoja wa wafungaji wa mabao mawili ya Chelsea yaliyowaondoa Galatasary katika michuano ya UEFA Champions League jumanne iliyopita amepost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa pamoja na mshambuliaji Didier Drogba – ambaye amekuwa mpinzani wake kwa muda mrefu katika medani za soka barani Afrika.
Category: uingereza
0 comments