ALICHOPOST GOLIKIPA WA ARSENAL BAADA TU YA KUFUNGWA GOLI 5 NA LIVERPOOL JANA

Unknown | 7:30 PM | 0 comments

article-2554698-1B4CB9D800000578-340_636x418
Muda mchache baada ya mchezo wa jana wa ligi kuu ya England kati ya Arsenal dhidi ya Liverpool, ambao uliisha kwa matokeo ya Liverpool kuiadhibu Arsenal 5-1, golikipa wa klabu ya Arsenal Wojciech Szczesny alitumia akaunti yake ya mtandao wa Twitter kuwaomba msamaha mashabiki wa timu hiyo kwa kipigo hicho.

Aliandika: “Ilikuwa ni aibu kubwa, samahani kwa yoyote aliyekaa dakika zote kuangalia mchezo ule.”

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments