MKURUGENZI ROBERTO DE FANTI AONDOLEWA SUNDERLANDKAMA Di CANIO
Sunderland imetengana na Mkurugenzi wao wa Soka Roberto De Fanti ambae aliteuliwa wadhifa huo Juni 2013.
De Fanti alijiunga na Sunderland mapema Mwaka Jana mara baada ya Paolo Di Canio kuteuliwa kama Meneja.
De Fanti alibakia Stadium of Light baada Di Canio kutimuliwa Mwezi September baada kusimamia Gemu 13 tu.
Chini ya usimamizi wa De Fanti, Sunderland ilisaini Wachezaji 14 mwanzo wa Msimu huu na kutumia karibu Pauni Milioni 19.
Miongoni mwa Wachezaji hao wapya ni Straika kutoka AZ Alkmaar, Jozy Altidore, Mchezaji wa Kimataifa wa Italy, Emanuele Giaccherini na Kipa kutoka Arsenal, Vito Mannone.
Baada Di Canio kufukuzwa, Wasaidizi wake wote, Fabrizio Piccareta, Kocha wa Timu ya Kwanza, Domenico Doardo, Kocha wa Makipa, na Makocha wa Viungo, Claudio Donatelli na Giulio Viscardi, wote waliondoka isipokuwa De Fanti alibaki.
Hivi sasa Sunderland ipo chini ya Meneja Gus Poyet na wapo Nafasi ya 19 kwenye Msimamo wa Ligi lakini wapo kwenye Nusu Fainali ya Capital One Cup wakiwa wanaongoza Bao 2-1 baada ya kuifunga Man United katika Mechi ya Kwanza na Jumanne Januari 22 wanarudiana Old Trafford.
Mashabiki wakimtaka aondoke De Fantiambapo wamemwona ndie chanzo cha kubwetesha timu kukaa mkiani mpaka sasa.
Mmiliki wa Sunderland Ellis Short (kushoto) ndie aliyechukua maamuzi ya kumwondoa Roberto De Fanti
Anaye noa timu kwa sasa: Gus Poyet
Kocha wa Zamani Paolo Di Canio alitimuliwa mwezi September mwaka jana.

Category: uingereza
0 comments