KAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100.

Unknown | 7:54 AM | 0 comments

 

Leo hii kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A.
kaka kabla ya mchezo wa leo alikuwa ameifungia Milan mabao 99.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments