TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE 'THE TANZANITE' YAKABIDHIWA BENDERA
Kaimu
Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura (wa pili kushoto),
akimkabidhi bendera ya taifa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya
Tanzania chini ya miaka 20 ‘The Tanzanite,’ Fatuma Issa. Tanzanite,
inasafiri Jumatano kwenda Afrika Kusini kwa mechi ya marudiano dhidi ya
timu ya taifa
ya wasichana ya huko ‘Basetsana’ itakayopigwa Jumamosi Desemba 21.
(Picha na Habari Mseto Blog)
Category: tanzania
0 comments