SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA

MSHAMBULIAJI
Luis Suarez ametajwa mchezaji bora wa mwaka wa tuzo ya Shirikisho la
Mashabiki wa Soka jana usiku akiwapiku Leighton Baines, Christian
Benteke, Juan Mata, Robin van Persie na Pablo Zabaleta kushinda tuzo
hiyo iliyohusisha wapiga kura zaidi ya 500,000.Suarez alisema kuwa "Tuzo
hii si yangu peke yangu, ni pamoja na wachezaji wenzangu, uongozi na
benchi la Ufundi na yeyote anayehusiana na Liverpool".
Category: uingereza
0 comments