KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
TIMU 
ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye 
michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya 
kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi 
iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!
Category: tanzania
 



 
 
 
0 comments