HUYU HAPA NDIYE MTOTO WA C. RONALDO
Mchezaji Cristiano Ronaldo ametoka na mwanae wa kiume mwenye umri wa
miaka mitatu “Cristiano Junior” wakizindua museum huko Madeira Portugal
Jumapili iliyopita.
Mtoto huyo sio kawaida kuonekana mara nyingi hasa sehemu kama hii ambayo inavuta camera nyingi za media tofauti.
Musuem hiyo ilizinduliwa na Ronaldo akisaidiwa na mwanae na itakua na
masanamu,tuzo,makombe na jezi zake kwenye maisha yake ya soka.
Category: uingereza
0 comments