Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu.
MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI
Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Category:
HABARI NYINGINEZO:
KAMA UMEIPENDA HABARI HII TAFADHARI INGIZA EMAIL YAKO HAPO CHINI ILI TUWE TUNAKUTUMIA HABARI. ASANTE!
0 comments