2014 WORLD CUP QUALIFIERS: PORTUGAL 1 v SWEDEN 0, CRISTIANO RONALDO AMFUNIKA ZLATAN IBRAHIMOVIC
BAO
la dakika za mwishoni dakika ya 82 la kichwa la Cristiano Ronaldo leo
limetosha kuwapa Portugal ushindi dhidi Sweden iliyokuwa ikiongozwa na
Zlatan Ibrahimovic uliochezwa huko Lisbon Nchini Portugal. Kipindi cha
kwanza kilimalizika timu zote zikiwa 0-0 hakuna aliyelifunga lango la
mwenzake. Kipindi cha pili dakika ya 82 Cristiano Ronaldo anaipatia bao
Portugal kwa kichwa baada ya kupokea krosi kama kona.
Mshabiki wa Sweden wakishangilia baada ya kuwaona wachezaji wakiingia uwanjani muda mfupi kabla ya mtanange kuanza usiku huu. .
Mchezaji
wa Portugal na timu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo na wa Sweden
Zlatan Ibrahimovic wakipeana mkono kusalimiana kabla ya mtanange.

Zlatan Ibrahimovic akiteta na mwamuzi wa mtanange huo Nicola Rizzoli

Cristiano Ronaldo

Zlatan Ibrahimovic leo ameonekana wa kulaumu tu na si wakutafuta mabao!!

Cristiano Ronaldo baada ya kupewa kadi ya njano kipindi cha kwanza!!

Fabio Coentraoakichuana na mchezaji Sebastian Larsson kuutafuta mpira

Cristiano Ronaldo akiruka juu huku akikabwa na mchezaji wa Sweden Sebastian Larsson kwa kushikwa mkono ili asilete majanga langoni mwao !
VIKOSI:
Portugal: Patricio, Pereira, Coentrao, Veloso, Pepe, Regufe Alves, Meireles, Moutinho, Postiga, Nani, Ronaldo
Subs not used: D Carvalho, Almeida, R Carvalho, Pereira, Na Bangna, Moreira da Costa, Neto, Varela, Antunes, Josue, Bastos Pimparel, Macedo Lopes
Goal: Ronaldo 82
Sweden: Isaksson, Lustig, Olsson, Elm, Nilsson, Antonsson, Larsson, Kallstrom, Ibrahimovic, Elmander, Kacaniklic
Subs not used: Olsson, Svensson, Wiland, Gerndt, Granqvist, Wernbloom, Bengtsson, Johansson, Toivonen, Durmaz, Zengin, Nordfeldt
Ref: Nicola Rizzoli
Category: uingereza
0 comments