UCHAGUZI MKUU WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) UNAENDELEA ... HALI IPO HIVI SASA ....
Wadau
wa Soka wakiwa nje ya ukumbi wa mikutano wakati wakisubiri matokeo
uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unaoendelea hadi
sasa katika ukumbi wa Water Front jijini Dar es Salaam. kwa sasa kura
zinaendelea kuhesabiwa ili kupata washindi wa uchaguzi huo na mtandao
wako wa Fullshangwekupitia kikosi kazi chake upo katika eneo la tukio
ili kumuvuzisha matokeo hayo mara yatakapotangazwa rasmi (Picha na
Francis Dande)
Juma
Pinto na Ayubu Nyenzi ambao ni Wagombea wa nafasi ya ujumbe katika
uchaguzi mkuu wa TFF wakiwa nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa uchaguzi.
Ayubu Nyenzi (katikati), ambaye anagombea nafasi ya ujumbe katika uchaguzi mkuu wa TFF akiwa na wadau wa soka.
Mgombea wa nafasi ya ujumbe
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayubu Nyezi (kulia), akipoza kwa maji
baada ya joto la uchaguzi kupanda, wakati wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa
shirikisho hilo.
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ayubu Nyezi (kulia), akipoza kwa maji
baada ya joto la uchaguzi kupanda, wakati wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa
shirikisho hilo.
Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi
akitoka nje ya ukumbi wa mkutano kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa
uchaguzi wa TFF.
Jamal Malinzi akiteta jambo nna wadau wa soka nje ya ukumbi wa mkutano.
Mhhh…
Kuonana na wadau.
Kusalimiana na wadau wa soka.
Mgombea
wa nafasi ya Rais wa TFF, Jamal Malinzi akilakiwa na mdau wa soka baada
ya kutoka kwa muda katika ukumbi wa mkutano kabla ya kuanza kwa
uchaguzi.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Shirikisho la Soka
Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto), akisalimiana na mdau wa soka wakati
akitoka nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa uchaguzi wa shirikisho hilo uliofanyika njijini Dar es
Salaam.
Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto), akisalimiana na mdau wa soka wakati
akitoka nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa uchaguzi wa shirikisho hilo uliofanyika njijini Dar es
Salaam.
Category: tanzania
0 comments