Home �
tanzania
� ONA JINSI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WALIVYOZIMIA UWANJANI ... NI HATARI SANA
Unknown |
10:03 AM |
0
comments

 |
| Shabiki mwingine aliyezimia |
 |
Shabiki
wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala
3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC
ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu
zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia.
Shabiki mwananke wa Yanga akitolewa kwenda kupata huduma ya kwanza
baada ya kuzimia alipokuwa akishagilia bao la pili dhidi ya watani wao
wa jadi Simba katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka sare ya mabao
3-3.
Shabiki mwingine wa Yanga akiwa amezimia
Shabiki wa Simba akiwa amezimia
Credit: Bin Zubeiry & Richard Mwaikenda
|
Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Category:
tanzania
0 comments