EXCLUSIVE : KUA WA KWANZA KUDOWNLOAD NGOMA MPYA YA MADEE TEMA MATE, IPO HAPA

Unknown | 4:51 PM | 0 comments

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Pombe Yangu, sasa msanii kutoka manzese maarufu kama Madee ameamua kuachia rasmi ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Tema Mate.  Ngoma hii imefanywa ndani ya Studio Ya Mj Records chini ya Producer Marco Chali. Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa chini...

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments