DEFOE AIPAISHA SPURS NA KUVUNJA REKODI YA MABAO ULAYA
MSHAMBULIAJI
Jermain Defoe kwa mara nyingine amedhihirisha hajachuja baada ya
kuifungia bao Tottenham katika ushindi wa 2-0 dhidi ya FC Sheriff
Tiraspol kwenye Europa League na kuvunja rekodi ya mabao ya Martin
Chivers iliyodumu kwa miaka 40 katika michuano ya Ulaya.
Shujaa
wa miaka ya sabini, Big Chiv, mshindi wa Kombe la UEFA akiwa na Spurs
mwaka 1972, alisema amefurahi kufikiwa idadi yake ya mabao, 22 na
mshambuliaji tegemeo la Spurs hivi sasa.
Defoe,
alianza katika nafasi ya Roberto Soldado, akiwa amefunga mabao sita
katika msimu huu wa Europa League na usiku huu akafunga tena dakika ya
75 baada ya Vertonghen kutangulia Spurs dakika ya 12 katika ushindi wa 2-0
Kikosi cha Tottenham kilikuwa: Lloris,
Naughton, Chiriches, Vertonghen, Fryers/Dawson dk34, Dembele,
Sandro/Holtby dk76, Lamela/Chadli dk61, Eriksen, Lennon na Defoe.
Sheriff: Tomic, Balima, Paye, Moyal/Furdui dk70) Samardzic, Metoua, Cavalcante Mendes, Stanojevic, Isa Mustafa/Paireli dk88, de Fiori Mendes/Gomes de Jesus dk84 na Henrique de Sousa
Game over: Jermain Defoe's powerful strike takes a deflection into the net for Tottenham's second goal of the night
Record holder: Defoe's goal brings him level with Martin Chivers' European record
Heads up: Jan Vertonghen rises highest to nod home Tottenham's opener
Under pressure: Sheriff's Luvannor Henrique shuts down Spurs full-back Kyle Naughton
Category: uingereza
0 comments