WAONE SAMATTA NA ULIMWENGU WALIVYOPAMBANA KUWAMALIZA WAARABU WA SETIF

Unknown | 7:42 AM | 0 comments

 





Katika mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Setif, TP Mazembe ilishinda kwa mabao 4-1, Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, wote wakafunga.
Ulimwengu alifunga mabao mawili na Samatta, moja huku Tresor Mbutu akifunga moja pia.








Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments