NAIBU WAZIRI WA HABARI, AMOSI MAKALA AFUNGUA MASHINDANO YA SHIMIWI MJINI DODOMA
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makala, akipiga
penati kuashiria kufungua rasmi mashindano ya Shimiwi, yanayoshirikisha
Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali yaliyoanza leo mjini Dodoma.
Timu
ya Ofisi ya Rais, Ikulu wakipita na bango lao mbele ya Jukwaa kuu
wakati wa ufunguzi huo leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Timu
ya Ofisi ya Makamu wa Rais, wakipita na bango lao mbele ya Jukwaa kuu

Baadhi
ya wachezaji wa timu ya Soka na Kamba ya Ofisi ya Makamu wa Rais,
wakipozi kwa picha wakati wa ufunguzi huo kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Wanafunzi wa Shule ya St. ya mjini Dodoma wakiongoza maandamano hayo.
Naibu Waziri, Amos Makala, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kitendo cha ufunguzi.
mafoto blog
Category: tanzania
0 comments