MANCHESTER CITY YAONJA KIPIGO TOKA KWA ASTON VILLA CHA 3-2 KWENYE ENGLISH PRIEMIER LEAGUE
ASTON VILLA 3 MANCHESTER CITY 2
Manchester City wameikosa nafasi ya kuongoza Ligi baada ya kufungwa Bao 3-2 na Aston Villa Uwanjani Villa Park.
Yaya Toure ndie aliefunga Bao la kwa kwanza kwa City na Villa kusawazisha kwa Bao la Karim El Ahmadi lakini Edin Dzeko akafunga Bao la pili kwa City.
Aston Villa wakasawazisha kwa frikiki ya Leandro Bacuna na Andreas Weimann kuwafungia Bao la 3 katika Dakika ya 75.
Edin Dzeko akishangilia baada ya kufanya City waongoze 2-1
Taswira ya uwanja wa Aston Villa leo hii wakati wanacheza na City
Yaya Toure akikabana na Leandro Bacuna

Category: uingereza

Samir Nasri
Yaya Toure akipiga mpira mbele ya kipa Brad Guzan
Wachezaji wa City wakipongezana baada ya kupata bao la kwanza
Meneja wa City Manuel Pellegrini
Karim El Ahmadi wa Aston Villa akimfunga kipa wa City Joe Hart
Wakipongezana baada ya bao

0 comments