KIKOSI CHA WACHEZAJI WA AIRTEL RISING STAR TANZANIA CHAWASILI NCHINI KUTOKA LAGOS NIGERIA
Category: tanzania
Home � tanzania � KIKOSI CHA WACHEZAJI WA AIRTEL RISING STAR TANZANIA CHAWASILI NCHINI KUTOKA LAGOS NIGERIA

Kikosi
cha Timu ya Airtel Rising Stars cha Tanzania kikiwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel
Rising Stars nchini Nigeria.
Timu ya wavulana ya Airtel Rising Stars katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria jana.
Mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Stars Afrika kwa upande wa wasichana katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria.
Kikosi cha Timu ya Airtel Rising Stars cha Tanzania katika basi tayari kwenda hotelini mara baada ya kuwasili nchini.
Ofisa
Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (mwenye rasta) akiwalaki wachezaji
mara baada ya kuwasili kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars
nchini Nigeria.Category: tanzania
HABARI NYINGINEZO:
KAMA UMEIPENDA HABARI HII TAFADHARI INGIZA EMAIL YAKO HAPO CHINI ILI TUWE TUNAKUTUMIA HABARI. ASANTE!
0 comments