KIGGI MAKASSI KWENDA INDIA KWA AJILI YA MATIBABU YA GOTI
Kiungo wa timu ya Simba, Kiggi Makassi anasafiri leo kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu ya goti.
Kiggi ambaye alipata majeruhi katika ligi msimu uliopita,
anaondoka leo na ndege ya saa 10:45 jioni kwenda kufanyiwa upasuaji wa
goti lake.
Category: tanzania
0 comments