Huyu ndo binti mrembo aliyejishindia taji la Redds Miss Tanzania Personality-2013
Severina ameungana na Miss Tanzania Photogenic 2013,
Happiness Watimanywa, Miss Tanzania Talent 2013, Prisca Clement, Miss Tanzania
Top Model 2013, Narietha Boniface na Miss Tanzania Sports Woman, Clara Bayo
kuingia katika nusu fainali ya Miss Tanzania ambayo itafanyika Jumamosi hii
ukumbi wa Mlimani City. Shindano hilo lilifanyika Mgahawa wa AK'S ulipo mtaa wa
Samora.
Category: tanzania
0 comments