HII HAPA LIST YA NYOTA WA SOKA WANAOLIPWA "PESA CHAFU" DUNIANI
MSHAHARA mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni
288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi ni rekodi. Kutoka Sportsmail inakuletea historia ya
mishahara mikubwa ya wachezaji ambavyo imekuwa ikipanda miaka na
miaka.

Tunaumiza vichwa vyetu pia
Cristiano: Ronaldo sasa anaondoka na kitita cha Pauni 288,000 kwa
wiki
Wakati Johnny Haynes anakuwa mchezaji wa kwanza kulipwa
Pauni 100 kwa wiki mwaka 1961 watu walichanganyikiwa na kiwango hicho cha
mshahara.
pata picha watauchukuliaje mshahara mpya wa Cristiano
Ronaldo wa Pauni 288,000 baada ya kodi.
Wakati huo wachezaji ghali zaidi alikuwa analipwa Pauni
20 kwa wiki England hadi Januari 18, mwaka 1961.
Jimmy Hill, Fulham,
1953: Pauni 20 kwa
wiki

Johnny Haynes, Fulham, 1961: Pauni 100 kwa wiki

George Best, Man
United, 1968: Pauni 1,000 kwa wiki

Falcao, Roma, 1980: Pauni 10,000 kwa
wiki

Roberto
Baggio, Juventus, 1990: Pauni 50,000 kwa wiki

Sol Campbell, Arsenal, 2001: Pauni 100,000 kwa
wiki

Carlos
Tevez, Man City, 2009: Pauni 200,000 kwa wiki

Wayne Rooney, Man Utd, 2010: Pauni 250,000 kwa
wiki

Cristiano
Ronaldo, Real Madrid, 2013: Pauni
288,000 kwa wiki (baada ya makato ya kodi)
288,000 kwa wiki (baada ya makato ya kodi)

NYOTA NANE WANAOLIPWA 'PESA CHAFU' DUNIANI...
1 Ronaldo (Real Madrid) Pauni Milioni 15 kwa
mwaka
2 Lionel Messi (Barcelona) Pauni Milioni 13.41 kwa
mwaka
3 Neymar (Barcelona) Pauni Milioni 12.57 kwa mwaka
4 Zlatan Ibrahimovic (PSG) Pauni Milioni 12.16 kwa mwaka
5 Radamel Falcao (Monaco) Pauni Milioni 11.74 kwa mwaka
6 Wayne Rooney (Man Utd) Pauni Milioni 11.57 kwa mwaka
7 Sergio Aguero (Man City) Pauni Milioni 11.31 kwa mwaka
8 Yaya Toure (Man City) Pauni Milioni 10.90 kwa mwaka

Category: uingereza
0 comments