CHISORA AMTWANGA MJERUMANI NA KUTWAA UBINGWA WA ULAYA

Unknown | 7:20 PM | 0 comments

 


Euro win: Dereck Chisora won the European heavyweight title
IMEWEKWA SEPTEMBA 22, 2013 SAA 9:47 ALASIRI
Bingwa wa Ulaya: Dereck Chisora akimchapa konde Mjerumani Edmund Gerber katika pambano la kuwania ubingwa wa Ulaya kwenye ukumbi wa Copper Box Arena mjini London. Chisora alishinda kwa Technical Knockout (TKO) Raundi ya tano.
Title: Del Boy beat Edmund Gerber at the Copper Box
Taji: Del Boy akipewa taji lake baada ya kumpiga Edmund Gerber ukumbi wa Copper Box
Stoppage: The referee stopped the fight after a dominant performance from the Londoner
piga kama mwizi: Refa alimaliza pambano baada ya Chisora kumpiga mpinzani wake mfululizo bila majibu

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments