BONDIA ADAMU NGANGE AMTWANGA KWA KO ISSA MATUMLA!!

Unknown | 4:47 PM | 0 comments


Bondia Adamu Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Issa Matumla wakati wa pambano lao lililofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa Kilimahewa uliopo Chanika Kigogo.  Fresh Ngange alishinda kwa KO ya raundi ya pili.  Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 
Bondia Adamu Ngange kwenye uringo akikaa pembeni baada ya kumwangusha chini Issa Matumla pembeni
Refarii Saidi Chaku kulia akimpa huduma ya kwanza bondia Issa Matumla baada ya kugalagazwa kwa ngumi na bondia Adamu Ngange
 
Bondia Antony Mathias (kulia) akimpiga ngumi mfululizo bondia Ismail Ninja wakati wa pambano lao lililofanyika ukumbi wa kilimahewa Chanika Kigogo Dar es salaam. Mathias alishinda kwa KO Fresh. picha na www.superdboxingcopach.blogspot.com
 
Bondia Antony Mathias AKIWA AMEBEBWA JUU JUU BAADA YA KUPATA USHINDI KWA k,O

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments