Liverpool ndio timu ya kwanza kuifunga Barcelona Nou Camp
1.Nusu ya timu zilizoingia robo fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE zimewahi kufundishwa na CLAUDIO RANIELI Juventus 2007-2009,Monaco 2012-2014,Atletico Madrid 1999-2000, na leceister city 2015-2017.
2.Kipindi Gareth Bale alipokua na umri wa miaka 14 alikua anakimbia umbali wa mita 100 kwa muda wa sekunde 11.4
3.Wes Morgan nahodha wa leceister ndio mchezaji wa kwanza raia wa Jamaica kufunga goli katka michuano ya champions league.
4.Mwaka 1967 vita vya ndani vya Nigeria vilisimama kwa masaa 48 kwajili ya kumshuhudia mbrazil Pelle akicheza mchezo mkubwa wa mashindano.
5.Liverpool ndio klabu ya kwanza kutoka ENGLAND kuifunga FC BARCELONA katika uwanja wao wa CAMP.
6.ARDA TURAN wa FC BARCELONA hua anawasaidia majirani zake kuwalipia huduma za kijamii kama maji na umeme mwaka mzma.
7.Miaka 9 iliyopita mchezaji DIMTRI PAYET wa OLIMPIQ MARSEILE alikua mfanya kazi wa duka na mtunzi wa vifaa kwenye store ya duka hilo?
8.Thiery henry na William galas wote kutoka ufansa pia zamani Arsenal wamezaliwa siku moja na muda mmoja yani august 17-1977.
9.Mchezaji wa zamani waReal madridRaul Gonzalez alicheza mechi 1034 bila kupata kadinyekundu.
10.Mchezaji wa zamani wa REAL MADRID na BARCELONA MICHAEL LAUDRUP amezichezea timu zote mbili na kila EL-CLASSICO aliocheza kila upande wameshinda 5-0.
11.Franco Baresi na Paulo Maldini wamecheza mechi 196 wakiwa pamoja katka klabu ya Ac Milan na wametengenezeana magoli 29.
12.mwaka 1982 tajiri KEN BATES aliinunua Chelsea kwa euro mil 1 tu.
13.Thomas Muller hajawahi kupoteza mchezo akiwa amefunga goli katika timu yake ya taifa ya UJERUMANI.
14.ANTOINE GRIZMAN tangu akiwa mtoto alipenda kuvaa jezi namba 7 kwakua alikua akimpenda sana DAVID BECKHAM wa England.
15.SEBASTIAN ABREU amevunja rekodi ya kuwa mchezaji ambaye amezichezea timu 23 tofauti
Category: uingereza
0 comments