Haya hapa matokeo yote ya mechi za Jana Europa League
Michuano ya Europa League hatua ya 16 bora ilianza jana kwa michezo 8 kuchezwa barani Ulaya.
Tumekuwekea hapa matokeo ya mechi zote za jana.
- Rostov 1-1 Manchester United
- APOEL 0-1 Anderletch
- FC Koebenhavn 2-1 Ajax
- Celta Vigo 2-1 FC Krasnodar
- Gent 2-5 Genk
- Lyon 4-2 AS Roma
- Olympiacos 1-1 Besiktas
- Schalke 1-1 Borussia Moenchengladbach
MECHI ZA MARUDIANO NI ALHAMISI IJAYO
Category: uingereza
0 comments