Usajili uliokamilika mpaka sasa Barani Ulaya
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa mwezi Januari barani Ulaya tayari timu nyingi zimeshasajili na hapa tumekuandalia matokeo ya usajili wote uliofanyika mwezi huu Januari.
Tumekukusanyia hapa usajili mkubwa uliokamilika mpaka sasa thamani ikiwa katika paundi/Euro
1. GERARD DEULOFEU | Everton kwenda AC Milan | Mkopo wa miezi 6
2. MEMPHIS DEPAY | Manchester United kwenda Lyon | £16m kuongezeka mpaka£21.7m
3. JOSE FONTE | Southampton kwenda West Ham | £8m
4. SAIDO BERAHINO | West Brom kwenda Stoke | £12m
5. TOM CARROLL | Tottenham kwenda Swansea City | £3.5m
6. PATRICK BAMFORD | Chelsea kwenda Middlesbrough | £6m
7. NIKLAS SULE | Hoffenheim kwenda Bayern Munich |€20m
8. SEBASTAIN RUDY | Hoffenheim kwenda Bayern Munich | Uhamisho huru
9. MORGAN SCHNEIDERLIN | Manchester United kwenda Everton| £24m
10. MATTIA CALDARA | Atalanta kwenda Juventus | €15m
11. LUCIANO NARSINGH | PSV kwenda Swansea City | £4m
12. STEVAN JOVETIC | Inter Milan kwenda Sevilla | Mkopo wa miezi 6
13. HOLGER BADSTUBER | Bayern Munich kwenda Schalke kwmkopo wa miezi 6
14. MARTIN ODEGAARD | Real Madrid kwenda Heerenveen | Mkopo
15. FELIPE MELO | Inter Milan kwenda Palmeiras | Uhamisho huru
16. JOHN OBI MIKEL | Chelsea kwenda Tianjin TEDA (China)| Uhamisho Huru
17. TIMOTHEE KOLODZIEJCZAK | Sevilla kwenda Borussia
Monchengladbach | €8m (£6.8m)
18. LEE GRANT | Derby County kwenda Stoke City | £1.3m (€1.5m)
19. JUAN ITURBE | Roma kwenda Torino kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu na kipengele cha kumnunua mazima
20. LAZAR MARKOVIC | Liverpool kwenda Hull | Mkopo
21. IAGO FALQUE | Roma kwenda Torino | €5m (£4.3m)
22. ALBERTO AQUILANI | Pescara kwenda Sassuolo | Mkopo
23. RYAN BABEL | Ameachwa na Besiktas | Yuko Huru
24. TOMAS RINCON | Genoa kwenda Juventus | €8m (£6.8m)
25. AXEL WITSEL | Zenit kwenda Tianjin Quanjian | Haijaelezwa
26. CARLOS TEVEZ | Boca Juniors kwenda Shanghai Shenhua |£8.1m
27. JULIAN DRAXLER | Wolfsburg kwenda Paris Saint-Germain |€35m (£30m)
28. JOEY BARTON | Rangers kwenda Burnley | Bure
29. ADEMOLA LOOKMAN | Charlton Athletic kwenda Everton | £10m (€11.7m)
30. RIECHEDLY BAZOER | Ajax kwends Wolfsburg | €12m (£10.2m)
31. RUDY GESTEDE | Aston Villa kwenda Middlesbrough | £6m (€7m)
32 OSCAR | Chelsea kwenda Shanghai SIPG | €60m (£51m)
33. ROBERT SNODGRASS | Hull City kwenda West Ham | £10.2m
34. DIMITR PAYET | West Ham United kwenda Olympic Marseille kwenda
35. BOJAN | Stoke City kwenda Mainz | Mkopo
Category: uingereza
0 comments