Tovuti ya Man United yaongozwa kutembelewa
Tovuti ya Klabu ya Manchester United imeongoza kwa kutembelewa na watembeleaji wengi kwa mwezi kwa mujibu wa ripoti ya UEFA.
Msimu uliopita Man Utd ilikuwa ikitembelewa na watu milioni 8.6 kwa mwezi ikifuatiwa na Arsenal yenye iliyotembelewa na watu 8.5 na nafasi ya tatu imechukuliwa na Klabu ya Liverpool.
Klabu 20 zinazotembelewa sana kwa mwezi ni:
1.Man Utd – 8.6m
2.Arsenal – 8.5m
3.Liverpool 7.7m
4.Real Madrid – 7.2m
5. Barcelona – 6.3m
6.Fenerbahce – 3.3m
7. Chelsea – 3.2m
8. Dynamo Kiev -3.1m
9.Bayern Munich – 2.9m
10. B Dortmund – 2.7m
11. Al Ahly -2.6m
12. PSG – 2.6m
13.Leicester – 1.9m
14. Tottenham – 1.8m
15. Marseille – 1.8m
16. Sao Paulo – 1.7m
17. Man City – 1.7m
18.Zenit – 1.6m
19. Galatasaray -1.6m
20.Juventus – 1.5m
Category: uingereza
0 comments