Matokeo ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2018
Tumekuwekea hapa matokeo ya mechi mbali mbali zilizopigwa jana na leo alfajiri kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchini Russia.
ULAYA
● KUNDI C- Czech 0-0 Azerbaijan
- Germany 2-0 N.Ireland
- Norway 4-1 San Marino
● KUNDI E
- Kazakhstan 0-0 Romania
- Denmark 0-1 Montenegro
- Poland 2-1 Armenia
● KUNDI F
- Lithuania 2-0 Malta
- Slovakia 3-0 Scotland
- Slovenia 0-0 England
ASIA
● GROUP A- Uzbekistan 2-0 China
- Iran 1-0 South Korea
- Quata 1-0 Syria
GROU B
- Australia 1-1 Japan
- Iraq 4-0 Thailand
- Saudi Arabia 3-0 A.E.U
AMERICA KUSINI
- Colombia 2-2 Uruguay- Bolivia 2-2 Ecuador
- Argentina 0-0 Paraguay
- Chile 2-1 Peru
- Venezuela 0-2 Brazil
Category: uingereza
0 comments