Hawa hapa wanaowania kocha bora mwezi Septemba
Mwezi September Umeisha na moja kati ya tuzo zinazotolewa kila unapomalizika mwezi katika ligi kuu ya England ni Tuzo ya Kocha bora wa mwezi.
Na kwa mwezi Septemba makocha ambao wanawania tuzo hizo
- Pep Guardiola (Manchester City).
- Jurgen Klopp (Liverpool)
- Alan Pardew (Crystal Palace)
- Mauricio Pochettino (Tottenham Hotspur)
NOTE: Makocha hao wote wameshinda michezo mitatu kwa mwezi Septemba na mshindi wa tuzo hizo atatangazwa tarehe 10 Mwezi huu.
Category: uingereza
0 comments