MMOJA WAO ANASUBIRI TUZO YA GOLI BORA LA MWEZI

Unknown | 6:46 AM | 0 comments

Goli la kwanza katika Ligi kuu ya England kwa mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic dhidi ya Bournemouth limempa nafasi ya kuwa mmoja ya wachezaji wanaowania tuzo ya goli bora la mwezi Agosti.


Katika orodha hiyo wamo pia Philip Coutinho na Sadio Mane wa Liverpool katika magoli yao waliyofunga dhidi ya Arsenal.

HII NDIYO ORODHA KAMILI.

● Xherdan Shaqiri (Middlesbrough vs STOKE CITY) 13 August

● Philippe Coutinho (Arsenal vs LIVERPOOL) 14 August

● Sadio Mane (Arsenal vs LIVERPOOL) 14 August

● Zlatan Ibrahimovic (AFC Bournemouth vs MANCHESTER UNITED) 14 August

● Sam Vokes (BURNLEY vs Liverpool) 20/08)

Kevin Mirallas (West Brom vs EVERTON) 20 August

Cristhian Stuani (Sunderland vs MIDDLESBROUGH) 21 August

Jamie Vardy (LEICESTER CITY vs Swansea City) 27 August

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments