Hii hapa ratiba mpya ya Raundi ya nne kombe la Ligi - EFL Cup

Unknown | 2:23 PM | 0 comments

Raundi ya nne ya kombe la Ligi- EFL Cup imetoka mahasimu wa Manchester – City na United watakutana tena. Mechi zita chezwa wiki inayoanza Oktoba 25.

Droo kamili ya mechi zote ni kama ifuatavyo.

West Ham v Chelsea
Manchester United v Manchester City
Arsenal v Reading
Liverpool v Tottenham
Bristol City v Hull
Leeds v Norwich
Newcastle v Preston
Southampton v Sunderland

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments