Haya hapa matokeo na wafungaji Ligi Mabingwa Ulaya ya mechi za jana

Unknown | 10:15 AM | 0 comments

Jumla ya michezo 8 ilipigwa jana katika hatua ya pili ya makundi katika ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Kama ilivyo kawaida www.wapendasoka.com tumekuwekea hapa matokeo yote ya jana na wafungaji wa magoli katika mechi hizo.



KUNDI E

● AS Monaco 1-1 Bayer Leverkusen
  - Kamil Glik (90'+4')
  - Javier Hernández (73')

 ● CSKA Moscow 0-1 Tottenham Hotspur
     ☆Son Heung-Min (71')

KUNDI F

  ● Borussia Dortmund 2-2 Real Madrid
     - Pierre-Emerick Aubameyang (43')
     - André Schürrle (87')
      - Cristiano Ronaldo (17')
      - Raphaël Varane (68')

● Sporting CP 2-0 Legia Warsaw
   - Bryan Ruiz (28')
   - Bas Dost (37')

KUNDI G

● FC Copenhagen 4-0 Club Brugge
   - Stefano Denswil (53' OG)
   ☆ Thomas Delaney (64')
   ☆ Federico Santander (69')
    ☆ Zanka (90'+2')

● Leicester City 1-0 FC Porto
  ☆ Islam Slimani (25')

KUNDI H

● Dinamo Zagreb 0-4 Juventus
    ☆ Miralem Pjanic (24')
    ☆ Gonzalo Higuaín (31')
    ☆ Paulo Dybala (57')
    ☆ Dani Alves (85')

● Sevilla FC 1-0 Lyon
  ☆ Wissam Ben Yedder (52')

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments