BARCELONA WAMRUDISHA RONALDINHO

Unknown | 6:57 AM | 0 comments

Aliyewahi kuwa mchezaji bora wa dunia Ronaldinho Gaucho amerejeshwa katika klabu ya Barcelona lakini safuri hii akiwa kama Balozi wa klabu hiyo katika jiji la New York Marekani.

 Hii ni mara ya pili kwa Barcelona kuingia mkataba na nyota huyo wa Brazil japo mkataba wake wa sasa utakua ni kwaajili ya kuitangaza klabu hiyo katika jiji la New York.

Ronaldinho ana miaka 36 hivi sasa na anarudi katika klabu ambayo ilimfanya kuwa mchezaji bora kabisa duniani.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments