ROONEY AFIKIRIA KUSTAAFU SOKA TIMU YA TAIFA
Nahodha wa England na klabu ya Manchester United,Wayne Rooney ametanabaisha kwamba anataka kustaafu kuitumikia nchi yake baada ya fainali zijazo za kombe la dunia.
Rooney atakua na miaka 32 wakati wa fainali zijazo za kombe la dunia huko Russia na tayari kashasema baada ya hapo atatandika daluga.
Category: uingereza
0 comments