MATOKEO YOTE YA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA ZA EPL
Chelsea wao waliendeleza wimbi la ushindi kwa kuinyuka Barnley bao 3-0 magoli ya Eden Hazard,Willian na Victor Moses.
MATOKEO YA MECHI ZA LEO EPL
- Tottenham 1-1 Liverpool
- Watford 1-3 Arsenal
- Leicester City 1-2 Swansea
- Chelsea 3-0 Burnley
- Southampton 1-1 Sunderland
- Everton 1-0 Stoke
- Crystal Palace 1-1 Bournemouth
Category: uingereza
0 comments