KUMEKUCHA .... HAYA HAPA MAKUNDI YA EUROPA LEAGUE YALIVYO ...
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Robin Van Perse atarejea katika uwanja wa Old Trafford katika mechi za makundi za michuano ya Europa League.
Wakati huo huo Mbwana Samatta na klabu yake ya Genk wao wamepangwa katika kundi F linaloongozwa na Atletico Bilbao ya Spain, Rapid Wien ya Austria na Sassuolo ya Italia.
MAKUNDI YOTE YA MICHUANO HIYO NI HAYA HAPA
KUNDI A: Manchester United, Fenerbahce, Feyenoord, Zorya
KUNDI B: Olympiacos, Apoel, Young Boys, FC Astana
KUNDI C: Anderlecht, St Etienne, Mainz, Qabala
KUNDI D: Zenit St Petersburg, AZ Alkmaar, Maccabi Haifa, Dundalk
KUNDI E: Viktoria Pizen, AS Roma, Vienna, Astra Giurgiu
KUNDI F: Athletic Bilbao,KRC Genk, Rapid Vienna, Sassuolo
KUNDI G: Ajax, Standard Liege, Celta Vigo, Panathinaikos
KUNDI H: Shakhtar Donetsk, Braga, Gent, Konyaspor
KUNDI I: Schalke, Salzburg, Krasnodar, Nice
KUNDI J: Fiorentina, PAOK, Slovan Liberec, Qarabag
KUNDI K: Inter Milan, Spata Praga, Southampton, Hapoel Be’er Sheva
KUNDI L: Athletic Bilbao, Steau Bucharest, FC Zurich,
Category: uingereza
0 comments