RAIS UEFA AJIUZULU NAFASI YAKE

Unknown | 8:31 PM | 0 comments

Rais wa Muungano wa Vyama vya Soka Ulaya (UEFA), Michel Platini ametangaza kujiuzulu Jumatatu, baada ya kusimamishwa kazi zake zote zinazohusu mpira ambazo zimepunguzwa kwa hadi miaka sita kwa miaka nne kwenye Mahakama ya Usuluhisi (TAS).

"nimechukuwa maamuzi ayobaada ya kuona maamzi ya Mahakama ya Usuluhisi, lakini nimeona si haki"alisema Mfaransa Michel Platini katika taarifa muda mfupi baada ya uamuzi wa TAS.

" Uamuzi huu unanifanya mi kusimamisha, na kunipa bahati ya kuonekana katika uchaguzi ujao wakuingoza FIFA, Kama walivyokubaliana na Vyama vya Kitaifa, basi najiuzulu kama rais wa UEFA, ili kuendelea kupambana mbele ya mahakama ili kuthibitisha uaminifu wangu katika suala hili, "alisema.

" Maisha inanihifadhia mambo mazuri, kwasasa niko tayari kuishi na kukabiliana nayo", aliongeza Michel Platini ambaye amejiuzulu kuanzia sasa.

Tuwakumbushe kuwa TAS inatambua "uhalali" wa mkataba kati ya Michel Platini na FIFA kwa milioni 1.8, ila hawaamini uhalali wa malipo yaliyotolewa mwaka 2011 na pia uhalali wa kuwa mshauri na kufanya kazi na Sepp Blatter,Aliyekuwa raisi wa FIFA.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments